Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 289
- 283
Tujaribu tena
Jomba wachaubishimkuu kunasomo gan la zaid ya ku flex na 1 cut mkuu
Mfano una mkeka ambao una Team 10 , alafu zikitoa inakuja milioni 1 zikiwin, kati ya team 10 zikitoa 9 ikiwa imebaki team 1 katika mkeka lazima muhindi atakuletea laki 4 tu ili uiache ule milioni 1 ili uliwe , Sasa kama imebaki gemu ya kesho mfano liver na brentford na wewe ulimpa Liver 1x na unajua huhakika kutoa.hapa wengi hatujaelewa.
PERFECT PERFECT PERFECT PERFECT
Wewe peke yako ndiyo una Akili timamu humu umeweza kujua cha kufanya hapo hupo sahihi kabisa ila unaona ninavyo shambuliwa bure hapa bila ya sababu watu wananiona mjinga ..kuna tukio lilitokea hapa jf mtu alipewa cash out ya mamilioni watu walishindwa kumpa njia sahihi ya kufanya matokeo yake alipoteza pesa yote
Upo sahihi sana ...watu humu uwezo wao wa kufikili ni mdogo mno
Uchira 1 @Joanah jamaa ZagaZagarino kajua nini ninacho sema msomeni hapokama Team imebaki hiyo moja ni Ku cover tu , Ukiweka Over 2.5 second half itakuwa na odds kama 3.5 mpaka 3.9 ukiweka 10,000 inakuja 35000 kwahyo ikitoa umekula hyo 7 ikiliwa unakuwa umekula uliyo cover, Always team ikibaki 1 ,kuliko ku cash out Bora uka cover utakavyoweza
Akili kubwa, ni kama arbitrage flani hivi au sio?Mfano una mkeka ambao una Team 10 , alafu zikitoa inakuja milioni 1 zikiwin, kati ya team 10 zikitoa 9 ikiwa imebaki team 1 katika mkeka lazima muhindi atakuletea laki 4 tu ili uiache ule milioni 1 ili uliwe , Sasa kama imebaki gemu ya kesho mfano liver na brentford na wewe ulimpa Liver 1x na unajua huhakika kutoa.
Basi unatafuta hela ya ku cover na unampa Brentford mfano kwa kesho ana odds 6 , Ukiweka laki na hamsini tu kwa team 1 brenford ashinde utapata laki 9 , so utakuwa na mikeka miwili , Mmoja akishinda liver unakula hiyo Milioni na Akipigwa unakula laki 9 ambayo ukitoa 150,000 unapata faida 750,000 tofauti na CASHOUT angekupa laki 4
Daah kasepa na tren langu mbuzi huyuGalatasry
Galatasry
Mbona watyu wamepga Zaid ya hzo na awaongeiKumbukeni ni odds 350 hizo ...sijui kama ni akili kuponda hizo odds...maana sisi tunaangalia ukubwa wa odds siyo pesa
Wachezaji wengi wazuri Newcastle ni majeruhi na suspensionHawa bournemouth na newcastle nimewaomba wote wasaidiane wapate goli 1 tu ila naona matumaini hamna kabisa.
asante sana mkuu, umeeleweka.Mfano una mkeka ambao una Team 10 , alafu zikitoa inakuja milioni 1 zikiwin, kati ya team 10 zikitoa 9 ikiwa imebaki team 1 katika mkeka lazima muhindi atakuletea laki 4 tu ili uiache ule milioni 1 ili uliwe , Sasa kama imebaki gemu ya kesho mfano liver na brentford na wewe ulimpa Liver 1x na unajua huhakika kutoa.
Basi unatafuta hela ya ku cover na unampa Brentford mfano kwa kesho ana odds 6 , Ukiweka laki na hamsini tu kwa team 1 brenford ashinde utapata laki 9 , so utakuwa na mikeka miwili , Mmoja akishinda liver unakula hiyo Milioni na Akipigwa unakula laki 9 ambayo ukitoa 150,000 unapata faida 750,000 tofauti na CASHOUT angekupa laki 4
Ndugu kuna somo hapo kubwa sana haitakiwi ku cash out na nilazima unakula hata matokeo yawe vipi kuna kitu ukifanya kwenya hiyo step unakula hata kanji afanye mbinu gani ni sure kabisa 100%
mkuu kunasomo gan la zaid ya ku flex na 1 cut mkuu
limeshatolewa na ZagaZagarino, pitia comments za juu. utayaona maelekezoLitoe hapa hadharan kila mtu asome
Umekwenda sawaKuliko kuhonga, leo naenda hivo
View attachment 2810763