JaidenG
JF-Expert Member
- Oct 4, 2021
- 696
- 908
We mzee una akil sana upewe mkataba wa bandari uupitieMkuu usiforce incosistence unaongeza odds hadi inakuwa kama tamaa kuna game nzuri tu punguza game za roll over na ukitaka ku roll vyema huwa ni moja au mbili.
Cheza game moja moja ata kwa mwezi mzima game
Ukiweza tengeneza odd zenye interval ya up and down sio kila siku utapata odd mbili tatu n.k
Anza 1.2 mpaka 2 ikiwa siku iko poa
Anza na laki moja au 50k
Roll over rule
-Epuka tamaa
-Sio kila siku unabeti hatakama ni roll over ya siku kumi unaweza icheza ndani ya mwezi mzima ndo unapata safe 10 days
-Kuwa mvumilivu usione inachelewa
Kinyume na hapo cheza tren