Wapi tulianfikiana usiposhare code basi hupaswi weka boooom! Wenye stress bana basi ni natag watu kumi tu naomba kila mmoja atafute odd ya 1.2 na kuendelea weka common option ambazo ni rahisi kwa wasiotumia betting site kama helabet, 1xbet etc


Yaani hapa ni company za home tu.


1. OgaBoy
2. Yoyote
3.
....
10

Hapa kuna odd kumi ikiwa tutaleta au pata game nzuri

jtatu.


Stake kiasi chako

Kisha jnne

Tunarudia tena

Stake ulichopata chote hakuna kuona huruma

Jtano ni mwisho



Usiseme hakuna games game zipo tena za magoli tuwasave wasio na mitaji odd ni 10 kwa siku tatu ni 30 so unaweza roll over hatuwezi kushindwa tukitoa game moja kila mmoja hasa game za Norway na Australia
 
Iran league B

Fahad alha vs Gah basrh alfad
Correct score: 2-2
Odds: 36

 

Attachments

  • Screenshot_20230625-155035.png
    Screenshot_20230625-155035.png
    82.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230625-154624.png
    Screenshot_20230625-154624.png
    13.5 KB · Views: 7
Nimetembea magroup mengi ya kubet

Niseme tu ,hapa dunian hakuna mtaalamu wa kubet ,

Unakuta mtu upepo umemuelekea kawin mara tatu mfululizo ,anajiona gwiji anaanzisha group et anauza odd ,badae vipigo vinaanza anakimbia hadi group lenyewe

Hakuna sure odd

Fanya analaysis mwenyewe weka hela
Tunakumbushana tu wakuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom