Ushauri wenu hapa👇 mkeka ni huo kulia leo na kesho
Screenshot_20230624-093718.png
 
Hata Sportbety weishaiweka.

Hii Mechi ipo kimtego mnooo

Wameikimbiza over 1.5 na kuipa over 2.5 ,nimesepa nayo hukohuko over 2.5.

Direct Win naiogopa mnoo.

Maana Mbeya City waliocheza hovyoo

Na hawa Wanga wa Kigoma wana Record ngum mnoo

-RTC Kigoma ilishinda ugenini Sumbawanga na kupandia Daraja
  • MBANGA fc ilishinda ugenini Morogoro na kupanda Daraja
  • CONGO fc ( Reli) ilishinda ugenini BUKOBA na kupanda Daraja

Sasa hizi takwim hizi,zinanikikbiza

Mbeya City team ya Halmashauri
MASHUJAA team ya Wanajeshi

Aiseee

Best for me ni
-Over 1.2 kwa kampuni zimezotoa( Sportbety hiii option haipo)
  • GG
  • Mbeya City over 0.5
  • MASHUJAA over 0.5

But direct Win hapa kwa Mie hapana
yote haya ya nini now Mbeya city win
 
Wazee nipeni mawazo mazuri mechi iliyobaki ambayo sijaiangalia ni

Cobh ramblers fc vs waterford fc

Niliweka. Double chance ya 12&over 2.5 mazeee

Sema nipeni neno zuri naloweza kufarijika maana sijaangalia hii mecho , just kama sikj nyinginr imeanza kama imechana au. Nenda kwa wakala kama imetoa
 
pole kakaa tengeneza mwinginee tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom