Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu zangu wakamalia nawasalimu,imefikia Ile asubuhi muhimu Kwa Kila mmoja kuanza kufikiria ni Kwa namna gani anaweza kujikomboa kwenye hili janga la umasikini ,hasa Kwa sisi vijana tumekuwa na desturi ya kujipatia kipato kutokana na kurisk hela zetu Ili tulate kikubwa
Lakini sasa kwenye katika kubeti (ku risk) yapo mambo muhimu ya kuzingatia,mtu mwenye akili timamu hawezi kurisk hela yake kwenye jambo ambalo anaona haliwezekani na kutambua hilo basi lazima tujue uchungu wa hela tunayo irisk endapo tukiipoteza basi kama ndo hivyo kula vyuma in next thread
1686170247298.jpg
 
Mbea cty Ana ods 2.21 kampuni wasafi bet
Hata Sportbety weishaiweka.

Hii Mechi ipo kimtego mnooo

Wameikimbiza over 1.5 na kuipa over 2.5 ,nimesepa nayo hukohuko over 2.5.

Direct Win naiogopa mnoo.

Maana Mbeya City waliocheza hovyoo

Na hawa Wanga wa Kigoma wana Record ngum mnoo

-RTC Kigoma ilishinda ugenini Sumbawanga na kupandia Daraja
  • MBANGA fc ilishinda ugenini Morogoro na kupanda Daraja
  • CONGO fc ( Reli) ilishinda ugenini BUKOBA na kupanda Daraja

Sasa hizi takwim hizi,zinanikikbiza

Mbeya City team ya Halmashauri
MASHUJAA team ya Wanajeshi

Aiseee

Best for me ni
-Over 1.2 kwa kampuni zimezotoa( Sportbety hiii option haipo)
  • GG
  • Mbeya City over 0.5
  • MASHUJAA over 0.5

But direct Win hapa kwa Mie hapana
 
yote haya ya nini now Mbeya city win
 
Back
Top Bottom