Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Unaingia kwenye bet history kama kawaida then unagusa kule juu kulia kwenye filter (chujio) then unachagua hapo kwenye pick an option kisha unachagua won. Unamalizia na apply filter. Hapo utauona mkeka View attachment 2645271
Screenshot_20230604-003644_SportPesa.jpg
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
0752093569 Nicheki Kama Bado Kuna Shida
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Uwaraka Unahitajika Kabla Hawajatoa Ripoti Yoyote Ya Washindi Slip Yako iwe Inaonekana Na pia Kutaharifiwa Taarifa Ya Ushindi Wako
 
Apo sidhan kama wao wamefuta kuna namna uwek upya zile mkeka wa tar flan ad flan afu reselt fitler
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Umefanikiwa?
 
duuuh soma T&C zao wamefafanua hilo vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom