Cybercurex
Member
- Jan 19, 2023
- 76
- 178
Oya wanangu Simba mnawaonaje kwa mnaocheki game
Kaliwaaa kavu 2Wakuu naombeni matokeo ya Dynamo moscow
Kaliwaaa kavu 2
AiseeeeAiseee...
Hauangalii mpira yawezekanaMechi ya simba itakuwa na Goli 4 au zaidi weka mzigo halafu nenda kalale..
Jiandae kuwithdraw 46k yako kiulaini mkuu.Iiwalo liweView attachment 2602933
Naweza nisiitoe pia maana mechi yaweza isha 1-0Jiandae kuwithdraw 46k yako kiulaini mkuu.
Mkuu umenichekesha sana 😂🤣Mungu wangu
Kuna goli mbili au zaidi 2H.Naweza nisiitoe pia maana mechi yaweza isha 1-0
Timu wachezaji wana stress za Vitaa unategemea nini????Mkuu umenichekesha sana
Mkuu umenichekesha sana
Aisee bado hawajatulia wana wenge muda wowote risasi zinaliaTimu wachezaji wana stress za Vitaa unategemea nini????
Pole sana mkuuDaah sio poa mkuu jamaa anashindwa kunipa 0.5 aisee
Pole sana mkuu