Mtoko wa leoView attachment 2601469
Screenshot_20230427_153044.jpg
 
Nasubiria kwa hamu hapa, nimeandaa 10,000😜😜😜
Screenshot_20230427-170614_betPawa.jpg


34ED937

kick off 20:30

TUENDELEE KUJARIBU MKUU

πš‚πšπšŠπš”πšŽ πš†πš‘πšŠπš 𝚈𝚘𝚞 πšŒπšŠπš— πšŠπšπšπš˜πš›πš 𝚝𝚘 πš•πš˜πšœπšŽ
 
Hakuna kazi rahisi.
Kila kazi Ina ugumu wake, Ili mwisho wa siku upate hela,basi lazima uteseke..

Betting ukiheshimu, ukitulia na kutumia akili na uzoefu.. itakulipa tu siku moja, mm naamin hivyo.

Kwahiyo Hakuna kukata tamaa.

Ila Sasa Fanya betting, na fanya kazi zako zingine.

Wale wengine ambao hawana biashara ukitoka mzigon bas betting ni Kama side hustle.

Kwenye maisha Ukipiga miguu miwili , Mambo yanasonga .

Be blessed Tajiriii .. Ni jambo la muda...
 
Mpe wydad
Mpe mamelod
Mpe esperance
Raja weka gg
Man u leo na tot weka gg
Newcastel leo weka over 2.5
Yanga weka win
Jumamos mpe barca win mpe madrid win
Mpe napoli win jumamos
Jumapili mpe man city win
Man u na vila wape gg
Tot na live wape gg

Huu mkeka weken hela J2 jion tutakutana hapa mtanambia
Kuna kampun yoyote imeweka game za Caf?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mpe wydad
Mpe mamelod
Mpe esperance
Raja weka gg
Man u leo na tot weka gg
Newcastel leo weka over 2.5
Yanga weka win
Jumamos mpe barca win mpe madrid win
Mpe napoli win jumamos
Jumapili mpe man city win
Man u na vila wape gg
Tot na live wape gg

Huu mkeka weken hela J2 jion tutakutana hapa mtanambia
Direct win zinalipa Ila Risk ya kupoteza Ni kubwa.

Timu moja iki draw au kufungwa inachana mkeka wote.

Kwahiyo Mm siziamin kabisa.

Over 1.5 au under 4.5
+ Double chance ndio mpango mzima.

Risk ya kupoteza over/under au DC ni ndogo kulinganisha na Direct win
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom