Simpleboylife
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 565
- 1,109
JoanahYule dada wa 2.5over leo kimya???
JoanahYule dada wa 2.5over leo kimya???
Naendelea kufanya "Upembuzi yakinifu mkuu" odds chacheSijaona odd zako mkubwa leo au naangalia vibaya
Nasubiria kwa hamu hapa, nimeandaa 10,000πππNaendelea kufanya "Upembuzi yakinifu mkuu" odds chache
mpira unadunda ila Simba hamfungi Waydad kule away, NEVER, ile timu inaujua mpira wa ndan na nje ya uwanjaPumzika Leo
Kesho mpe Simba ashinde
Correct score ni 1-2
Wydad 1-2 Simba
Nasubiria kwa hamu hapa, nimeandaa 10,000πππ
Kuna kampun yoyote imeweka game za Caf?Mpe wydad
Mpe mamelod
Mpe esperance
Raja weka gg
Man u leo na tot weka gg
Newcastel leo weka over 2.5
Yanga weka win
Jumamos mpe barca win mpe madrid win
Mpe napoli win jumamos
Jumapili mpe man city win
Man u na vila wape gg
Tot na live wape gg
Huu mkeka weken hela J2 jion tutakutana hapa mtanambia
Direct win zinalipa Ila Risk ya kupoteza Ni kubwa.Mpe wydad
Mpe mamelod
Mpe esperance
Raja weka gg
Man u leo na tot weka gg
Newcastel leo weka over 2.5
Yanga weka win
Jumamos mpe barca win mpe madrid win
Mpe napoli win jumamos
Jumapili mpe man city win
Man u na vila wape gg
Tot na live wape gg
Huu mkeka weken hela J2 jion tutakutana hapa mtanambia
Waiting tajiri.Nimeingia kwenye livee stay tuned nimeweka odds 20 first half ngoja tuone nitawataarifu
Hii kwa kampuni gani best?90CC567
Mbupu usiiweke
Wakuu timu mbili chaliiiiWaiting tajiri.
Ila live Bet Ina matokeo ya kushangaza Sana..
Polee tajiriii, Hii kazi Ni ngumu...Wakuu timu mbili chaliiii
Njoo 1xbet kama unaogopa kutuma hela kwa wakala basi tumia hela bet zinafanana kila kituWakuu parimatch huwez kubet zaid ya elf 50? Na team hawaruhusu zaid ya 12?
Manchester uniterld fc win or draw ,
Newcastle utd fc win straight
Nishaurini hapo wajumbe vipi