othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,676
- 9,080
Hili halianguki mkuu, usiogope, nitaandaa la jpili piaMkamalia kwa emergency liandae treni lengine kama hill likidondoka ila liwe la safari fupi
Be strong
Hili halianguki mkuu, usiogope, nitaandaa la jpili piaMkamalia kwa emergency liandae treni lengine kama hill likidondoka ila liwe la safari fupi
Mkamalia hili treni linaweza kudondoka lazima liwepo lengine
Lugano na mpumbavu mwenzake wanataka kuharibuTANGAZO abilia wote tunaosafiri kwenye tren ielekeayo kigoma mnaombwa msishuke kwa ajili ya usalama tuko polini sana
Umeondoa mkojo umeacha vinyesiNimeondoa mechi 4
Kuweni watulivu, muendesha chombo yupo imaraMkamalia hili treni linaweza kudondoka lazima liwepo lengine
Lugano na mpumbavu mwenzake wanataka kuharibu
Hili halianguki mkuu, usiogope, nitaandaa la jpili pia
Be strong
Heshima Yako Mkuu!
Ahahaaa...acha Mkuu, Aiseeee!Aiseeeeee
Mkuu upo? Mzee wa kuvizia inplay
Aisee kitambo sana umepotea mwamba
Nakumbuka miaka hiyo unyama mwingi sana kwenye live bet
Kuweni watulivu, muendesha chombo yupo imara
Mkuu acha nishuke nichukue boda niingie singida mjini mm nimefika , kilaraheli wakuu
M nachukua boda tren miyeyusho bhanaMkuu acha nishuke nichukue boda niingie singida mjini mm nimefika , kilaraheli wakuu
iyo button ukiiminya badae nyingine inajibofyaHapa ndio nakumbuka Button ya
DRAWWWW au HOME