Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poleni sana wakamalia wenzangu, kipande hiki Cha kutoka singida kuitafuta tabora kilikuwa na changamoto nyingi sn.

Mvua ya mawe pamoja na uchakavu wa miundombinu ukiongezea na Giza hili kumepelekea dereva wa chombo kushindwa kukihimili na hatimaye chombo kwenda mrama.

Kesho tunabadilsha ruti tunaachana na hii ruti ya kigoma tunaelekea mbeya kwa reli ya Tazara,

Tunaachana na hizi km 60, nakuja na km50

Vita ni ngumu lkn lazima tuishinde.
 
IMG_2447.jpg

Aisee
 
Tukiunganisha nguvu haya matreni ya 0.5 tunaweza kupasua game zote 60
Ngoja niandae mzigo halafu tuuchambue tuone vibwengo ni kina nani
 
Mikeka yangu miwili leo kafungia mmoja Villarreal niliweka away apate goli mbili ila alicho kifny Mungu ndo anajua kiufupi muhind ni mwizi kama sisi ambao
Afu watu wa humu mna siri kubwa kumbe game ya spurs ilifikisha kona 9 hata hamsemi ,basi mniombee game ya man City itoe kona 9 ntatoa mtaji kwa watu kumi !!hiyo game ikitoa kona 9
mimi nakuombea kaka itoe unipe mtaji mana muhind mshezi sana amenifanya vibaya sana leo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom