Wakamalia Sasa Safari inaendelea hk kipande Cha reli tunachoanza nacho kidogo kina kuwa na usumbufu flani na ukizingatia kagiza kinaingia basi tumuembee anaetuongoza tufike mwanza salama,

Kwakuwa tutalala mwanza ili kesho Safari yetu iendelee basi maombi ni muhimu sn naamini tutafika mwanza tutalala na tutaamka salama na kuendelea na Safari
Mkamalia kwa emergency liandae treni lengine kama hill likidondoka ila liwe la safari fupi
 
Vamos
Screenshot_20230415-202451.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom