Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,464
- 2,389
Mi nimeomba mkuu nijianike tu hata usisumbuke. Mitaji sio kila siku mtu anakuwa nayo.Mwanaume unaombaje hela kwa mwanaume mwenzio?
Mi nimeomba mkuu nijianike tu hata usisumbuke. Mitaji sio kila siku mtu anakuwa nayo.Mwanaume unaombaje hela kwa mwanaume mwenzio?
Mi naona kikubwa atueleze wakamalia huwa analyze vipi, ili nasi tuone namna ya kumkamata kanji dizaini ye, ambavyo huwa ana mliza MswedenMi nimeomba mkuu nijianike tu hata usisumbuke. Mitaji sio kila siku mtu anakuwa nayo.
Mkuu.Kutoa pesa wala sio shida wakamaria wakinifata PM nina kiwango changu cha kugawa pesa wakija PM.ukichelewa sitoi
Bank ganiMkuu.
Wakala wangu Lucas Sigala alishawahi niambia mteja wake alitoa pesa bank directly
70M
Hakunipaga details kamili
Hapana anayetakiwa kuanikwa kama ataenda ni huyu mwehu aliyesema chaiWatakao kuja DM kukuomba salio, tunaomba uwaanike hapa,
Wadau hyo ni pesaa ...mwngne aedit zaidi tumpige mhind
wakala mwaminifu namtumia piaMkuu.
Wakala wangu Lucas Sigala alishawahi niambia mteja wake alitoa pesa bank directly
70M
Yeah jmaa Hana makuuwakala mwaminifu namtumia pia
Mkuu code haionekan vzrMzigo nimeupiga polish tena kidogo. Nimeondoa direct win. Kitu ambacho nimejifunza kwenye betting option tamu ni ile ambayo tick inawekwa kabla hata ya dk 90. Option za kusubiria dk 90 huwa zina maajabu mengi sanaView attachment 2409474
wakala mwaminifu namtumia pia
D6A8B0Mkuu code haionekan vzr
Alafu mtu akiwa na kalaki anaanza kutusumbua, mara mawakala wamesajiliwa , cjui niaminije ,,,shuuuubanitNishaskiaga kuna mtu alitaka kutoa 70M akatoa kwa bank.
Hii aliniambia wakala wangu Lucas Sigala
Ila direct win mcdharau mjueMzigo nimeupiga polish tena kidogo. Nimeondoa direct win. Kitu ambacho nimejifunza kwenye betting option tamu ni ile ambayo tick inawekwa kabla hata ya dk 90. Option za kusubiria dk 90 huwa zina maajabu mengi sanaView attachment 2409474
Mzigo huo.Mkuu code haionekan vzr
Mkuu direct win kizungumkuti. Unaweza kushangaa ihefu ana draw na simbaIla direct win mcdharau mjue