msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,257
- 2,911
Tuma tena haionekani....au code ekaMzigo nimeupiga polish tena kidogo. Nimeondoa direct win. Kitu ambacho nimejifunza kwenye betting option tamu ni ile ambayo tick inawekwa kabla hata ya dk 90. Option za kusubiria dk 90 huwa zina maajabu mengi sanaView attachment 2409474
Betpawa
Kwa uzoefu wng na mawakala naona mwny hela kdg cash ya kutosha Romano sema ss ana watu weng ukitoa unabid uwe mvumilivu.
Kwa uzoefu wng na mawakala naona mwny hela kdg cash ya kutosha Romano sema ss ana watu weng ukitoa unabid uwe mvumilivu.
Kbs kbs Yan mawakala huwez wategemea maana hujui kesho atakua ana changamoto gn tofaut na ww kuweka mwnyw direct.. Sema ma bank wangekua na easy terms kwny kias na wasiwe na delay ingekua option nzr sema ss ndo ivo.Kiukweli kabisa Mawakala ni pasua kichwa kweli kweli wakati mwingine
Yaani huduma za wakala zinategemea kaamkaje na anachangamoto gani
Nakubali hii..Safi
Huyo Basaksehir tayari amekalia kimoja.Basaksehir win.
Fernabache win.
Madrid win.
Nimeweka figo. Mniombee!
😂😂Hawa instanbul wamenifanya mpaka nimkumbuke mchekeshaji Mzee Senga na lile tusi lake la "instanbul wee" dah
Ubarikiwe sana mkuu
NCAAB ni ligi ya kiboya sana...hauchelewi kukuta timu zinamaliza mchezo zikishindwa kutoa hata 120 totalMi nmeweka mechi 50 zenye over 139 kuja chini zote nimezipa over
Anaongoza 1 bilaFenerbacbe Kala umeme mamaee ngoja tuanze kuminya
Hii kazi ishakuwa ngumu chukua likizo.Hawa instanbul wamenifanya mpaka nimkumbuke mchekeshaji Mzee Senga na lile tusi lake la "instanbul wee" dah