Nakutakia mapumziko memaRasmi naacha kubett🙏
Mkuu naomba screen shot huo mkeka
Rasmi naacha kubett🙏
Hawa wapuuzi West ham naona wanagoma kupiga kona
Ile ya betpawa ni noma mzee....zile free spin ni noma. Nilijaribu meridian, sportybet na premier betting naona wot3 ni wasanii tuuWheel of fortune kaitafute kwenye site nyinginezo
Kweli aseeNimetoka kuangalia hapa, aisee West Ham anaweza tulaza na viatu. Lakini ngoja tuendelee kusubiri bado kuna kipindi cha pili. Kinacho tia matumaini michezo mingine yote inaendelea vizuri.
Unamuomba jamaa akuungeNaomba u share link ya group....?
NakaziaMtaji ndio kila kitu kwenye bet, ukitaka bet uipatie na uone matunda yake pia upunguze kulalama kila siku basi wekeza kwenye mtaji.
Hii ni app gan ndugu?Fanya uchambuzu uwezavyo kupitia hii picha ila usitoke nje ya concept, 90% ya ubashiri huwa unatoka.
View attachment 2334284
Weekend vipi?
kanji mkalii sanaaa mechi moja kila siku mikekaa hoiiVipigo tu