Wakuu naomba kueleweshwa kuhusu hizo code mnazotumia kwenye mikeka mfano AE130B???
Unatumia kampuni gani kwanza, mfano kama ni BETPAWA unaicopy hiyo code kisha unakwenda ku-paste kwenye booking code kisha unabonyeza LOAD zitakuja timu zote alizochagua alietuma code kisha na wewe unaweza ukazifanyia editing au ukaamua kurusha kama zilivyo.
 
Mzee wa kujilipua, kujitoa mhanga😆 unajua hizi odds zinazoogopwa mara nyingi ndo huwa zinatoa
Em cheki katreni hako ka weekend uka edit ukiweza.. gemu 15odds 170+
C766244 betpawa
Si unaona juzi, Man U ili-tick alafu Eiche anakuja kuchana, kimsingi ukifuata ODDS wakati mwingine unapotea hasa kwenye ligi zisizo maarufu kwenye runinga aka za kutegemea takwimu za mtandaoni.

Nimeshai-copy code na kui-paste sehemu nadhani kesho jioni nitai-pitia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom