Hela hii hapa
IMG-20220616-WA0021.jpg
 
Nimelose kwa Namungo,
Nakuja na haka hapa nataka niweke laki ili nirudishe hela yangu.
Naomba ushauri chap kwa haraka.
 

Attachments

  • 20220616_175340.jpg
    20220616_175340.jpg
    51.1 KB · Views: 10
Wewe ndio mimi🤣 haswa kwa kipindi hiki
But ni mara chache natupia bet za 15000-20000.. kwenye games ninazozifahamu
Mie nataka watu wawili ambao nitashirkiana nao kwenye kubeti nataka kila mmoja anitafutie point 1.3 kila siku na watu awo tutakubaliana malipo kila baada ya siku 15
Wewe ndio mimi🤣 haswa kwa kipindi hiki
But ni mara chache natupia bet za 15000-20000.. kwenye games ninazozifahamu
Mie nataka watu wawili tu ambao wanaimani kuwa wanaweza kutafuta kila mmoja odds 1.3 tu na watu awo ntakua nafanya nao kazi kila baada ya siku 15 nawalipa kwa makubaliano kwaiyo kama wapo wanione kwenye namba yangu 0694079135 whatsapp itapendeza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom