Hamna utaalam bwana ili vitu vingine unaona uwezekano umelalalia upande mmojaTuonyeshe mkeka wako uliokula mtaalam
Hamna utaalam bwana ili vitu vingine unaona uwezekano umelalalia upande mmojaTuonyeshe mkeka wako uliokula mtaalam
Unafurahisha sana we mtuOdds 10+
FF8CF21
Usiweke mbupu
Hahahaha kwanini?Unafurahisha sana we mtu
Ha ha ha ha ha haBetting is not a job
Under 2.5???? Au 4.5Mkuu hiyo ipo mwaka jana mshikaji aliweka under mechi 45 betpawa, na zilitoa zote.
Mtumie hata buku basiAseeeh dzeko mtu , ningelala vibaya sanaa
Ha ha ha ha ha ha
Mkuu ulistake au ulichukua ushauri wangu?Mkuu viwanja vimekua swimming pool timu zina butua butua sana na magoli yamekua magumu hayazidi 2
Trust me hii game Simba anashinda kwa gharama yoyote ile
Nimempa simba kama simba over 1.5 odd 1.8
Nijengewe SANAMUPamoja na game iliyopita Simba kupoteza, hii game kwake sio Rahisi kiasi umpe direct win, utashangazwa, ningebet MTIBWA DC
Nimebaki mdomo wazi aisee. Siku imekwenda hovyo kweli leoTuliompa atletico tukalale tugange yajayo yaliyopita si ndwele