Nililima mananasi bagamoyo pale kihangwa nilichopata siri yangu...wale waswahili wanauza nanas mpaka sh 200..niliweka 10m ardhin nikaambulia 4.2m...nikasema Tawilee...baada ya hapo ni stress tupu mpaka barabara ya vumbi tu navushwa na mtoto wa chekechea...mi leo nakufa na jackport ya sportpesa tuu na betpawa yenye 5.5Billion wacha niwaze vikubwa tuu
Utaniletea mzigo wa nanasi msata mkuu
 
Ngoja tuu nikanywe K vant..kubet nahis sina akili...pengine nimeandikiwa ili nifanikiwe zaid lazima nipitie shuruba..labda nyota yangu sio ya bahati nasibu....Tawilee Kanjibahi..Sio mikono tuu na miguu nimekunyooshea
Kiongozi,ww total odds zako huwa hazizidi ngapi?
 
Kama Simba kakujeruhi mfuate Man U mazima
Do or Die
View attachment 2091891
View attachment 2091894

Kama ulifuata ushauri utakua ume recover stake aliotafuna Simba
IMG_4761.jpg
 
betting bana ,nimeingia inplay Kuna option ilikuw na na odd 1.40 nikastake 10k ikaja 14k

nmemaliza kustake ile kurefresh tu nakuta imebadilika kuwa odd 6
maanaake Kuna timu imepigwa magoli fasta fasta ndan ya dk 1
 
Nimeshinda ila kinachoniuna ni kumtoa Villarreal kwa kuogopa kuharibu odds kubwa, niliweka apate goli 2 kwa 1.67

Cha muhimu Mrusi kakaa kmk
Screenshot_20220122-200740_1xBet.jpg
 
betting bana ,nimeingia inplay Kuna option ilikuw na na odd 1.40 nikastake 10k ikaja 14k

nmemaliza kustake ile kurefresh tu nakuta imebadilika kuwa odd 6
maanaake Kuna timu imepigwa magoli fasta fasta ndan ya dk 1

Kampuni gani?

Kuna option ya kuchagua kukataa au kukubali iwapo odd zitaongezeka au kupungua
 
Back
Top Bottom