2.49 odds

Screenshot_20211228-033105.jpg
 
Wadau, kwema? Hivi matokeo ya Jackpot ya betpawa mbona yanachelewa...mexhi zimepigwa Jana Ila mpaka Leo kimya,
Jackpot ya Tshs 200 Mill mechi zilizochezwa ni 8 kati ya 17 wanapaswa wafuate kanuni warudishe hela maana hazijavuka nusu na jana hakuna mechi iliyoahirishwa ilichezwa.

Jackpot ya Tshs 5.5 bill haina sharti ya mechi nusu kuchezwa wanapaswa kutangaza matokeo kulingana na kanuni. Kimya hiki hakieleweki maana mechi zote zilizoahirishwa hazikuchezwa jana. Baada ya masaa 24 walipaswa kuangalia matokeo ya mechi zilizochezwa 4 na kutangaza matokeo ya mechi zote zilizoko chini ya hizo mechi na washindi wabebe vitita vyao.
 
Okay mkuu rutta, ahsante kwa ufafanuzi wa kina na hongera kwa harakati za kutupia Code humu Jamvini. Jackpot Ni kiza kinene.! Acha kanji afanye yake.
 
Iyo code ndo hii apa niliiyandaa jana ichi kitu kinaboa unajua kuandaa code mtu unaumiza kichwa kiasi gani Alafu nashea humu kwa wema tu then mtu anaji mwabifai Kama vile code kaitengeneza yeye sasa me nitakuwa situmi Tena code humu zaidi ya kutuma code za won tu
Mkuu, binadamu ukiwajua usiumize kichwa unawapuuza tu. Sehemu ya Maisha tu mbona.
 
Bro usiseme hivyo.kuna wakati hata deal Zina buma mpaka unahisi umerogwa.nilishawahi kupitia hyo hali.
Basi msaidieni jamaa yetu madili kama mnayo, hâta mkumpa hiyo 5000 haitamsaidia.

Humu ndani ikitokea mtu kaweka wazo chamngamoto zake na unahisi unaweza kuja na suluhisho, saidieni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom