Kukosaa hela ya kubeti mbaya sana aisee
Screenshot_2021-12-23-07-24-08-36.jpg
 
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mkwamo wa kutoa hela 22bet

Nimetoa hela toka usiku saa 10 hadi sasa muamala hausomi
Nachat nao wananiambia ndani ya masaa 24

Tunatatuaje hii ipatikane mapema?
 
Badala ya kupoteza zaidi ya 30K pre week kufukuzia matreni ambayo hâta hivyo hayashindi, nimeamua kufukuzia jackpot ya spotless tu katika harakati zangu za kubeti kuanzia léo.

Maana kimsimgi anaefukuzia jackpot na anapoteza hela week nzima akifukuzia matreni hawana tofauti.
Tatizo la Jackport huwezi kucash out mzee, treni kuna muda unakuta umewaka timu 25 na 18 zimetoa ww unacash out hizo zingine watua wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom