msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,252
- 2,901
Mbona hukutupia vitu vizuri kama hivyo aiseeKuna wahuni walimuona mapemaView attachment 2053936
Mbona hukutupia vitu vizuri kama hivyo aiseeKuna wahuni walimuona mapemaView attachment 2053936
Kama ungekuwa nayo usingeiweka hapo, that's called psychology.Kukosaa hela ya kubeti mbaya sana aiseeView attachment 2054116
Mimi napenda sana correct score kuliko hata mchezo mwingine nikiliwa poa ila nami nikila hela inarudiKama ungekuwa nayo usingeiweka hapo, that's called psychology.
Achana na DIRECT win021D7C5-Betpawa
duhh wamesahau kushusha odds hapo au inakuaje. sijaelewa hii🤒
BetpawaWadau betting platform gani ina virtual game nzuri?
ShukraniBetpawa
Sijawahi kula aisee, sijui inachezwajeShukrani
Tatizo la Jackport huwezi kucash out mzee, treni kuna muda unakuta umewaka timu 25 na 18 zimetoa ww unacash out hizo zingine watua wenyewe.Badala ya kupoteza zaidi ya 30K pre week kufukuzia matreni ambayo hâta hivyo hayashindi, nimeamua kufukuzia jackpot ya spotless tu katika harakati zangu za kubeti kuanzia léo.
Maana kimsimgi anaefukuzia jackpot na anapoteza hela week nzima akifukuzia matreni hawana tofauti.
Tatizo la Jackport huwezi kucash out mzee, treni kuna muda unakuta umewaka timu 25 na 18 zimetoa ww unacash out hizo zingine watua wenyewe.
Sio nzuri ila hailingani na JACKPORT ambayo inakulimit option, yaan wewe ni 1 X 2 hii huwa ngumu mno. Kama hizo JACKPORT WANGEWEKA HATA OPTION YA KONA, TUNGESEMA MENGINE HAPA.Kiufupi treni sio nzuri kwa afya ya msafiri
Hope unaweza kujifunza kupata win kupitia mikeka yangu tizama vizuri njinsi navyo bet Wenda ukaja kuwa mkali zaidi yangu me mwenyewe nimejifunza hapa hapa kubetHiyo ilikuwa kazi ya Jana nikajaribu na basketball daah kaniangusha inter milanView attachment 2054408View attachment 2054409View attachment 2054410View attachment 2054411