Betpawa yaan wamenipa bonus ya sh 1 (moja)
Screenshot_20211207-211027_Chrome.jpg
 
Hizo mechi mbili hapo ni shidaa ila wamejidai moja kuipeleka nyingine imelose ila tokea saa kumi na moja huo mkeka nimecheza kipind cha kwanza tu.
1638903184948.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20211207-215402.jpg
    Screenshot_20211207-215402.jpg
    60.4 KB · Views: 2
Kuna mtu alileta mada humu kuhusu hawa jamaaa kukubadilishia option nilikuwa kinara wa kupinga ila leo imenitokea...na anaepinga aendeelee kupingaaa mkeka....
Hakuna kitu kama hicho mkuu , imagine tunaobet tupo wengi sana world wide nivigumu sana kukubadilishia option, wanapata wapi muda huo? kama unakuwa na wasiwasi ukishabeti, screenshot options ulizobeti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Saa nyingine pia tunakua na haraka wenyewe hlf hatuhakiki before Ku place the bet mm kuna siku niliibet timu kibao hlf kuna moja nilikosea nilietaka kumpa nikampa ambae sijataka kumpa kwa bahat mbaya mkeka ulitoa wote kasoro hyo mistake kwa ile haraka
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu , imagine tunaobet tupo wengi sana world wide nivigumu sana kukubadilishia option, wanapata wapi muda huo? kama unakuwa na wasiwasi ukishabeti, screenshot options ulizobeti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Sikulazimishi kuamini na wala sijaleta iwe mada...ila nachojua kama umekuwa mcheza kamari wa siku nyingi huwezi kubisha swala la hizi kampuni nguvu wanayokuwa nayo juu ya hii mikeka...hasa kwa timu wanazojua hazifatiliwi au za ligi ndogo..so kama unabisha wewe bisha ila ipo siku utajionea mwenyewe mimi hiki kitu leo ni mara ya tatu japo ni vitu tofauti..na naweza kukupa ushahidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom