kwa waliofuata...Mchawi LYON tuTIPS OF THE DAY.
NAGAWORLD WIN.
BROMMAPOJKARNA WIN.
LIEFERING WIN OR DRAW.
JUVENTUS WIN.
LYON WIN.
BORUSSIA DORTMUND II WIN.
MARSEILLE WIN OR DRAW.
LILLE WIN OR DRAW (NAIONA RISKY NDIO MAANA NADEFENCE).
ESPANYOL WIN OR DRAW.
SEVILLA WIN OR DRAW.
ROMA WIN OR DRAW.
DJURGARDEN WIN OR DRAW.
BOCHUM WIN OR DRAW.
BET WHAT U CAN AFFORD TO LOSE..STAKE HAPO UKIWIN USINISAHAU INBOX
Mbona mkuu unashare baada ya kula tu...post ata kabla ili watu wafaidi mkuuMuindi kapigwa na kitu kizito kichwani.View attachment 1795610
Utapigwa weweWakuu Nan alishawahi kununua fixed odd kwa Hawa dark web please
Ulishawahi kununua dark web au unaongelea ushawahi kununua WAP Kuna kitu nataka kufahamUtapigwa wewe
Wewe unaamini kuna fixed odds? Wanabahatisha tu kama wewe, kama mimiUlishawahi kununua dark web au unaongelea ushawahi kununua WAP Kuna kitu nataka kufaham
Odds haziuzwi mkuu...!!!! Ingekuwa hivyo watu tusingelalamika mikeka yetu kuchanika. Kuwa makiniWakuu Nan alishawahi kununua fixed odd kwa Hawa dark web please
Odds haziuzwi mkuu...!!!! Ingekuwa hivyo watu tusingelalamika mikeka yetu kuchanika. Kuwa makini
Maana tangu nianze kubeti nasikia kitu hicho dark web Sasa nilitaka kufaham wapoje na Ni kweli wapo seriously au ndyo bahatisha bahatisha tuOdds haziuzwi mkuu...!!!! Ingekuwa hivyo watu tusingelalamika mikeka yetu kuchanika. Kuwa makini
Kama juve alivyonilaza uchi jela first half hajapiga corner hata moja mwenzie kabiga tatuFT corner 2 tu ajabu
Alipost kabla mkuu labda kama hukuonaMbona mkuu unashare baada ya kula tu...post ata kabla ili watu wafaidi mkuu
Wakuu Nan alishawahi kununua fixed odd kwa Hawa dark web please
Hakuna kitu kama hicho, Acha tamaa, tengeneza system yako utafanikiwa mkuu achana na odds za kununua.Maana tangu nianze kubeti nasikia kitu hicho dark web Sasa nilitaka kufaham wapoje na Ni kweli wapo seriously au ndyo bahatisha bahatisha tu
Sinununui mkuu nataka kufaham hyo dark web ipoje ipojeHakuna kitu kama hicho, Acha tamaa, tengeneza system yako utafanikiwa mkuu achana na odds za kununua.