Ipo mpesa mastercardHakuna njia ya kuweka kama ikivyo meridian au mbet
Ipo mpesa mastercardHakuna njia ya kuweka kama ikivyo meridian au mbet
Yes, 22Bet ni Chrone ya 1XBet ... nadhani miliki atakuwa mmoja. Ama 1XBet ni kampuni mama na hii 22Bet ni mtoto. Kila kitu wako sawa.Code inapatikana wap mkuu me 22 bet n mgeni aiseee afu naona option zake n kama 1xbet
Dah mnigeria sio mtu mzuri..kishafanya mambo..kanji chali
Mkuu ulimpiga ngapi hii jackpot?Jumatatu ilikuwa mubashara View attachment 1772933
Sio ten million kweli???Mkuu ulimpiga ngapi hii jackpot?
Hii inatoa bro. Naunga mkonoHUU MJADALA TUMEBISHANA UKO NAULETA HAPA
PsG ana odds 7.00 ivi PSG awezi kushinda game kwa tofauti ya goli 2 wazee mm nampa
NB:Sio kushinda tu bali na Kufuzu fainali
LIWALO NA LIWE
Shusha maoni yako
Mbona amna sasaTODAY FIXEDView attachment 1772899
BOOM
ni wapi huko kwa wanigeriaBOOM
Niunge na mm kwenye hilo group la hao wanigeria maana nimechoka na vpigoBOOM
kuna mdau anaitwa Yohana469 ndo amerusha hizo oddsNiunge na mm kwenye hilo group la hao wanigeria maana nimechoka na vpigo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tumpe nini?
Tumpe nini?
AshindeTumpe nini?
Sisi wengine tunaweka hela nyingi kwa hiyo punguza masihara ya kuendelea kumtajirisha muhindi, ww unaweza kuweka 100k ukampa psg?
Usicheze option ya mshindi wa mechi kwenye hiyo game mkuu. Me naona corner na shots zitatufaa.Sisi wengine tunaweka hela nyingi kwa hiyo punguza masihara ya kuendelea kumtajirisha muhindi, ww unaweza kuweka 100k ukampa psg?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa ndio nn hiki unapost ww? Ulitakiwa uweke mkeka kisha upige picha ndio uposti humu hebu punguza utoto wako humu wengine ni baba zako alafu tupo serious na huu mchezoUoga wako ndio umaskini wkoView attachment 1773304