Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,125
- 173,995
Manaake mboga tayari songa ugali tu ule 😂😂😂 Lost maini si unaziona za kushato!Hii Maana yake ni nini? View attachment 1771002
Manaake mboga tayari songa ugali tu ule 😂😂😂 Lost maini si unaziona za kushato!Hii Maana yake ni nini? View attachment 1771002
Huku ni kuchezea odds kwa stake ya 50K tu sahizi ungekuwa unakaribia millionNimepajaeibu hapo na nimesha ondoka na pesa ya gesi ya kupikiaView attachment 1771051
hapana ni voda kwa maana ya TIGO PESA
Mchezo gani huu mzeeNimepajaeibu hapo na nimesha ondoka na pesa ya gesi ya kupikiaView attachment 1771051
Hii option inapatikanaga wapi jamani! Hizo mi natafta odds 2 tu sipatagi! Hizo option wanafichaga amaJana muhind kapigika sana.. yaan watu wamekulaa sana pesa.... muhind kapasuliwa sana janaView attachment 1770667
Over 0.5 tayari nacheki game Live...wazingue tuone
Samahani boss huu mpira unacheki kutokea sayari ya jupitaOver 0.5 tayari nacheki game Live...wazingue tuone
Ipo ukifungua mechi anza kuzisoma option zote kuanzia mwanzo hadi mwisho utaionaHii option inapatikanaga wapi jamani! Hizo mi natafta odds 2 tu sipatagi! Hizo option wanafichaga ama
Upande gani wa stats ama?Ipo ukifungua mechi anza kuzisoma option zote kuanzia mwanzo hadi mwisho utaiona
🤣🤣🤣🤣hayo malost utaunguza kikaango sasaHii Maana yake ni nini? View attachment 1771002
Hapana hiyo haipo kwenye stats...yani ukishafungua tu wew anza kushuka chin utakutana nayo, ila siyo kwa mechi zote huwa ni baadhi hasa zile ligi maarufuUpande gani wa stats ama?
Kwamba, nitakulipa baada ya miaka mitatu kupita au?Piga simu tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 3 bila kikomo Bei 30000/ malipo ni baada ya kazi
Huuu mkeka ulitiki
Shots on target bossSamahani boss huu mpira unacheki kutokea sayari ya jupita
Hongera sana MkuuKama roho yako nyepesi ishia team 4 ama 3 tu Ila stake iliyonona,wenye roho ngumu na marisk takers basi suka mkeka wa team 7-9. Weekend waweza suka kokoro hadi la team 12-13 although too risk,stake isiwe kitita. KAZI IENDELEE WADAU
View attachment 1772581
Uwe unaweka mkuuKama roho yako nyepesi ishia team 4 ama 3 tu Ila stake iliyonona,wenye roho ngumu na marisk takers basi suka mkeka wa team 7-9. Weekend waweza suka kokoro hadi la team 12-13 although too risk,stake isiwe kitita. KAZI IENDELEE WADAU
View attachment 1772581