Nilipofika hapo wametengeneza mfumo ambao simu unafunga camera ya simu na kakuambia upige picha kitambulisho nilitumia cha kitaifa ina scan yenyewe kama unavyoscan bar code kwa kutumia simu ikishakuwa clear inajipiga picha yenyewe na ku save baadaye inakuambia ugeuze upande wa pili na baadaye selfie ya uso hivyo ilivyo fanya tangu juzi vipo pendding

Ikiubali hatua hiyo nasikia kuna ngoma nzito ya kuveryfy location hiyo utaomba wakuu mnielekeze kama nitakwama maana hata mambo ni ya kitaalamu ya ki IT watu anachukua muda kuyasomea sisi tunajifanya kuyafanya sababu ya shida
Upo sahihi, hakikisha tu simu yako ina uwezo mzuri wa camera, pia majina na taarifa zako zinafanana na documents ulizozitoa.


Mimi nilitumia driving licence wanashughulikia chap maana leseni na passport zinatambulika kimataifa zaidi bila wasiwasi
 
Boss umejitahidi sana kunielekeza Mungu akubariki saana ninasubiri kufika hiyo hatia ngoja nione kwanza hiyo ya ID kama itapita
Usichoke kuwasumbua watashughulikia fasta. mpaka sasa umeshafanikiwa ku verify taarifa zipi?
 
Mambo ya pweza
20210315_212118.jpg
 
Niliwahi kuizoka milioni 8 wakati ndio naaza hii biashara kichaa ,nilitumie kadi ya NBC ku deposit ku withdraw ikagoma kabisa nikayachezea yoote mpaka sifuri
 
Mbona mimi wananiwekea kauzobe wananiambia lazima nitoe kwa njia niliyowekea wakati nimeweka kwa visa na natolea hiyo hiyo? Hiyo ma crypto ni taaluma ambayo nipo sifuri
Hapana jaribu hzo njia za cryotocurrency huwa inakubali haikatai
 
Niliwahi kuizoka milioni 8 wakati ndio naaza hii biashara kichaa ,nilitumie kadi ya NBC ku deposit ku withdraw ikagoma kabisa nikayachezea yoote mpaka sifuri
Kuna jamaa yangu naye alinipigia simu siku moja kachanganyikiwa pesa yake imegoma nikamwambia asipaniki niliitoa Ile hela hakuamin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom