nickder
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 211
- 152
ukibet kimasihar beti inawin ukubet kikazi unalose duh kweli pesa ya mashetani hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
unatumia strategy gani kupata odds mbili za uhakika mkuu?Mimi natumia 100000/=ili nipate 10000/= mpaka 20000/= na ninakula daily. Ikizidi hapo inakuwa ni faida kwangu. Betting haitaki uwe na tamaa.
Mkuu uwe unanipa mkeka nianze kustake 100000 nakula 10000 maisha ya odd nying yamenishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue unaomba 1.10 Odds, jiongeze mkuu mbna iyo simple sana km una nia ya kwel na mtaji unao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumia 100000/=ili nipate 10000/= mpaka 20000/= na ninakula daily. Ikizidi hapo inakuwa ni faida kwangu. Betting haitaki uwe na tamaa.
Sana sana nacheza magoli over 0.5, 1.5 inplayunatumia strategy gani kupata odds mbili za uhakika mkuu?
Dah hii biashara sijui lini itakuwa na faida kwangu timu nyingi shida timu chache nazo ni shida. Sports club villa Mungu anamuona kasepa na 20k yangu dah hii biashara kwangu hasara kila uchao
Sent using Jamii Forums mobile app