Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,602
your prayers wakuu....Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...