Tunashukuru kwa vyombo tushindwe wenyewe tuPlay the tkt n thx ltrView attachment 1182048
Thanks Chief ... hela ya lunch imepatikana.
Natambaa na clusters za Void ab initio sasa ipatikane dinner. Leo EUROPA League kutakuwa na Over 1.5 za kutosha.
kabla ya ukamaria unaona ni easy 7bu haujui kiendeleacho na kikubwa ni baada ya FT ndio unaona ni easy si wangeweka tu GG mbona ilionekana draw
wacha aanze kuweka BE4 KICK OFF vilio tupu.
Gary Neville alikua akimkosoa Mourinho sana",. ila alikua akikosoa output, Mungu mkubwa Gary akapata timu (Valencia) game ya kwanza kala 7.. Game 10 jamaa katimuliwa..
Mou akasema ndio ajue tofauti ya kufundisha na kuchambua",.. Siku hizi kimya...
EUROPA League wote ukiwapa Over 0.5 Total odds zinakuwa 3.23 (Parimatch) ... is it worth trying this one? yani lipatikate goli moja kila mechi
Atakuwepo hata mmoja Wachawi wanakosekana basiAu ndo kuna wale wa 0-0
Atakuwepo hata mmoja Wachawi wanakosekana basi
jibu hilo mzee baba kuna wapumbavu wachache huwa wanakata viuno tu uwanjaniAu ndo kuna wale wa 0-0
Kama vile uko akilini mwangu. Nimewapa over 3.5 mapema sanaa.Hapa kunanukia magoli kipindi cha piliView attachment 1182108