Odds 2.20 chap kdg ...

IMG_20190815_105347.jpeg
 
Mkuu kuna wakati nilideposit kwa mybuxy wakaja wakaitoa hiyo njia
Nikaanza kuhangaika kutoa hela, nikahamisha kwenda kwa mtu mwingine wakanipiga block, ikabidi nizimalize kwakubet lost nikaanza upya na Bitcoin
Hadi leo nikihamisha inakataa, hadi nifanye withdraw

Kwanini usitumie bitcoin mkuu, sababu kama njia uliotumia mwanzo haipo hata ukihamishiwa haitatoka

Tumia bitcoin mkuu kama unaipenda 1xbet
Sina elimu yeyote ya bitcon mkuu, nilizoea kudeposite kwa m pesa ama mtu kunirushia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom