Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,436
- 2,156
bora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5Dah hizi odds hizi
bora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5Dah hizi odds hizi
Hapana inategemea stake ingawa ukipasua minne ukapigwa mmoja inakua changamoto zaidiVipi ndogo eeh?
Ni kuweka ushindi timu moja halafu tukutane baadaye Kwenye hesabubora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5
kampuni gani nzuri? premier wanasumbua mtandaoAchana na hiyo kampuni bhana.
Ok wanayo.
Hiyo timu moja yenye ushindi iko wapi?bora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5
Hongera mkuu bet won
Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?Hiyo timu moja yenye ushindi iko wapi?
Sina elimu yeyote ya bitcon mkuu, nilizoea kudeposite kwa m pesa ama mtu kunirushia
The Good ishu hata kama upo mbet ila unatusua mbona fresh tu,.kampuni gani nzuri? premier wanasumbua mtandao
Nami nimekaa kitako nipate kupewa hiyo timu yenye ushindi...Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
Bet direct win ikiwa una nyota nayo ila kwa mimi walau GOALS atleast haina presha na asilimia za kula ni kubwa.Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
Aisee Hilo goma nimelichelewaHongera mkuu bet won
kabla ya ukamaria unaona ni easy 7bu haujui kiendeleacho na kikubwa ni baada ya FT ndio unaona ni easy si wangeweka tu GG mbona ilionekana drawNami nimekaa kitako nipate kupewa hiyo timu yenye ushindi...
Siyo kazi ndogo kupata odds 1.5 kwenye betting.
Hongera mkuu bet won
Aisee hii treni tuliikosa pesa tupu du
kabla ya ukamaria unaona ni easy 7bu haujui kiendeleacho na kikubwa ni baada ya FT ndio unaona ni easy si wangeweka tu GG mbona ilionekana draw
wacha aanze kuweka BE4 KICK OFF vilio tupu.
Gary Neville alikua akimkosoa Mourinho sana",. ila alikua akikosoa output, Mungu mkubwa Gary akapata timu (Valencia) game ya kwanza kala 7.. Game 10 jamaa katimuliwa..
Mou akasema ndio ajue tofauti ya kufundisha na kuchambua",.. Siku hizi kimya...