Etoo43
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 788
- 727
Sportpesa inawezekana, lakini ni kwa tabu sana ukilinganisha na 1xbetMkuu hii kwa sportpesa inawezekana hyo live betting???
Sportpesa inawezekana, lakini ni kwa tabu sana ukilinganisha na 1xbetMkuu hii kwa sportpesa inawezekana hyo live betting???
Eti nimeota mtibwa kapigwa goli 9Leo Warusi 1xbet na Parimatch wameweka game zote za ligi kuu tz
Nataka nijilipue
Naombeni maoni
Bitcoins wanakomoaUnachagua currency yoyote mkuu hata ukiweka Tsh poa
Minimum withdraw ni ile ile 3500 hakuna tofauti
Tamani hizi game leo zingekuwa fixed tupige pesaLeo Warusi 1xbet na Parimatch wameweka game zote za ligi kuu tz
Nataka nijilipue
Naombeni maoni
parefu sana hapo, halafu bado makato makubwa, bora SafaricomBitcoins wanakomoa
Withdrawal minimum elf90+
Mkuu nawaza tu kwa sauti hapa yaani inatokea mtu siku hiyo unampiga parefu Mrusi km jamaa alivyouza Almasi ss wanapokuja kutaka confirmation ya Identities lazima wakuzulumu kirahisi mno coz sababu zoote wanazoni kweli ungepata mtu unayemfahamu akakusajilia kwa ID yake ingekua poa, sema hta hiyo haina shida kivile
aah kweli ila unawithdraw kidogo kidogo mkuu, ukipiga vilaki laki hawabani kuwithdrawMkuu nawaza tu kwa sauti hapa yaani inatokea mtu siku hiyo unampiga parefu Mrusi km jamaa alivyouza Almasi ss wanapokuja kutaka confirmation ya Identities lazima wakuzulumu kirahisi mno coz sababu zoote wanazo
Sawa mkuu swali langu la mwisho kwani mfano mm nikaenda pale namanga nikavuka Border kwa passport yangu nikaingia Kenya siwezi kusajili line ya Safaricom kwa passport yangu then nikarudi nayo Bongo?aah kweli ila unawithdraw kidogo kidogo mkuu
Wanataka uwe na kitambulisho cha Kenya, ila kama una passport na yenyewe inafaa piaSawa mkuu swali langu la mwisho kwani mfano mm nikaenda pale namanga nikavuka Border kwa passport yangu nikaingia Kenya siwezi kusajili line ya Safaricom kwa passport yangu then nikarudi nayo Bongo?
Je unatumia kitambulisho gani kusajilia hiyo acc mpya ya 1xbet?
Mkuu nipe elimu kubet kawaida tu kwenye basket balllSportpesa inawezekana, lakini ni kwa tabu sana ukilinganisha na 1xbet
Vp ww umefanikiwa kutumia kitambulisho gani?au una ndugu kakusajilia?Wanataka uwe na kitambulisho cha Kenya, ila kama una passport na yenyewe inafaa pia
kuna jamaa alienivusha boda ndio alinisaidia nikasajili kwa ID yake mkuuVp ww umefanikiwa kutumia kitambulisho gani?au una ndugu kakusajilia?
Dah hongera sana mkuukuna jamaa alienivusha boda ndio alinisaidia nikasajili kwa ID yake mkuu
kama ukienda, ukiwaeleza watakusaidia tu unakipiga na picha kabisa,Dah hongera sana mkuu
Ok sawa bro ngoja nifanye mchakato wa kuioata hii line thwn siku nikipata safari ya Arusha lazima nivuke boarder nipate yangu halisi yenye utambulisho wangukama ukienda, ukiwaeleza watakusaidia tu unakipiga na picha kabisa,
Wadau wapo hapa wanakuuzia line imesajiliwa kabisa , unapewa majina tuDah hongera sana mkuu
Kweli aisee mkuu ngoja nijitahidi niipate hiyo line ila kuna mdau hapo Etoo43 kasema anazo ila anauza kwa watu wa Dar moshi tu ss sijui nani mwingine anazoWadau wapo hapa wanakuuzia line imesajiliwa kabisa , unapewa majina tu
Issue ni ukiwapiga warusi parefu na ukataka kutoa mkwanja wako kwa mkupuo
Hapo ndio mtihani unapokuja
Lakini kwa hivi vilaki laki tunavyo won haina shida
Cha muhimu hakikisha acc yako isiwe bank, yani ukalimbikiza mihela ikawa mingi
Ukitaka kuitoa kwa mkupuo lazma utakutana na kikwazo cha id
Na hiyo ni kwa kampuni zote ukiwapiga parefu lazma watataka utambulisho