ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,280
- 4,236
Qaaaah mwamba ulipitea kama mimi umu ulingoni mzee babaNaona umeshkuwa konkodi mzeebb
Qaaaah mwamba ulipitea kama mimi umu ulingoni mzee babaNaona umeshkuwa konkodi mzeebb
mwamba umenichekesha mno asee duuh sema kanji anahitaji timing mzee wa kazi si unajua kuna muda na muda bobNipo mkuu sema ww ulipotega nilivyopotea mm na ww ukarudi.....mkuu nilipumzika kidgo maana nilikuwa nakula kidogo napigwa sana kila nikifurukuta za uso tu.....ikabdi nikumbuke msemo wa wahenga usemao bora ukimbie wakucheke kuliko ubaki wakuurumie....hivyo nakaamua nile likizo yahn
daah jamaa si ulikuwa unaweka hadi 6000000 daaahhhhhIzi xoote zimetoa kwa aliyetia mzigo wa maana neema kwakeView attachment 1097728View attachment 1097729View attachment 1097730
Aaaaah kumbe ulikuwa unanifatilia nilipumzika alafu sasa ivi sina mpunga salio lote nililitumia so now ndo naanza kukusanya tena mtaji mzee baba ata wewe kama unasalio xbet niuzie tu chief!!daah jamaa si ulikuwa unaweka hadi 6000000 daaahhhhh
Man umencheksha mno asee kumbe ulikuwa unanifatilia mzee baba aya sasa nimerudi twenzetu wote tuzichange upya mzeedaah jamaa si ulikuwa unaweka hadi 6000000 daaahhhhh
Man umencheksha mno asee kumbe ulikuwa unanifatilia mzee baba aya sasa nimerudi twenzetu wote tuzichange upya mzee
Tafta laini ya Safaricom .wakuu naomba msaada jinsi ya kuweka pesa 1xbet kwa kutumia mobile payment ....please
lain za safiaricom zinapatikana bongo?....maeneo gani?Tafta laini ya Safaricom .
Umaliza kupitia Mpesa Kenya.
Hapa DZM na Moshilain za safiaricom zinapatikana bongo?....maeneo gani?