Troyes
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 1,284
- 1,027
Hongera sana kiongoziView attachment 1045145View attachment 1045146View attachment 1045147
UNDER zangu huwa haziniangushi hiki kilikuwa kiporo cha jana wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kiongoziView attachment 1045145View attachment 1045146View attachment 1045147
UNDER zangu huwa haziniangushi hiki kilikuwa kiporo cha jana wakuu
Option zip mkuu?Kwa mimi Fundi Seremala naona kazi yangu na Kubet hazina tofauti
wacha niingie huku huenda nitapata maarifa ya kupoza machungu ya
mbao walizokamata Jana.
Option zip mkuu?Leo naona Mrusi Katoa Odd kubwa sana kwenye option za pesa game za EUROPA
Ni kutengeneza mikeka ya pesa mapema kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
almanusura umnyonyoe huyo mbwa kavukavu bila hao wangese QPR.Mliomuua liver, bebeni Na hilo ili mambo yakigeuka mpate pakupumulia.View attachment 1044976
Hahaa ngoja niwahi cargo swissport wasibebe maitiyake mpwaSasa. Mkuu ukimzika namna hii akikimbia Akarudi kwao India sisi tutampata wapi maana ana hela zetu mingi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahah karibu chiefKwa mimi Fundi Seremala naona kazi yangu na Kubet hazina tofauti
wacha niingie huku huenda nitapata maarifa ya kupoza machungu ya
mbao walizokamata Jana.