qpr na mwenzake wameninyima laki tano wacha tujaribu siku nyingine
IMG_20181026_235231_454.JPG
 
Hivi mimi nikiweka mkeka hainipi code ? au hii ni kwa wanaotumia application ya simu tuu? naomba ufafanuzi wataalam maana nashindwa kuwashirikisha wengine nilicho bet
Kama uliuchuku km ulivyokua mkuu KAWITHDRAW WOOOOON
 
Jamani iv niulize ikiwa handicap ya 1(-1) imanisha nini na (3.5) naomba kuzijua handicap zote za 1xbet vzr tafadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom