Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata game nzima bado pia ilikuwa ni loss maana hajapata goli, tuendelee tu kupambana haina kukata tamaa ila usimwambie Magu aufungie mchezo maana sungusungu ukiliwaga ada unakuwaga mbogo mkuu ahahhaha.
 
Daah mkuu tatzo mm nililiwaga laki9 na nilikuwa na system nzuri ya bila tamaa nilikuwa na bet game1 tu napiga ela balaa lkn kuna pepo liliingia wiki za nyuma kila game kubwa inazngua c baca wala Madrid wala bayan yan kila mkubwa niliisi moyo unatoka nilishindwa rudisha ela ad nkashuka dau et Leo naweza bet ad buku5 daah
ila option ya direct win kwa pesa nying sio kabisa yan
 
mm mwenyewe nilitaka kuweka laki mbili kwa psg machale yakanijia atachana ikabid nimpe barcelona na psg kwa laki moja moja psg akazingua
 
kuna hiz mbwa za monaco nahisi kama kesho watashinda wana odd 1.8 kushinda hapa ndo najadili na ubongo nataka kuweka mzigo mana Henry hajashinda
 
Pesa hiyo
Screenshot_20181026-203836~2.jpeg
 
Hv 1xbet kwa hyo mechi ikiwa live alaf labda ht ipo 0-0 nikabet over 1 kam lisipo patkana goal heka inarud au inakwenda na maji
 
Back
Top Bottom