Huyo unaedai apigiwe sim, ndie mkwapuaji wa pesa zenu ninyi msiojua ABC kuhusu 1xBet, yaani namaanisha ukijichanganya kidogo tu huyo jamaa pesa yako anaidaka na usipoifutalia kwa kina ndio kwaheri hiyo.
Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
 
Hiyo ni namba ya jamaa tu wa hapo mlipa, siyo namba ya ofisi. Nakupa hii kesho asbuhi piga mweleze A-Z tatizo lako naamini litashughulikiwa kwa wakati, u'll thank me later 022 270 1845
 
Kiukweli jukwaa lilikua zuri sana ila linachanganywa na watu ambao wao kila option wanauliza maana ...inakuaje mtu unaingia 1xbet na ushindwe kutoa pesa kwani umejisajili vipi kama ni lugha unavyojisajili umetumia hyohiyo
 
Ndio ndio
 
Samahani, naomba msaada na toa vip pesa kwenye 1×bet mi mgeni sijawahi tumia hii kampuni kubet na sijaona sehemu ya withdraw
Dah! Kweli mkuu hujaona kabisa sehemu iliyoandikwa withdraw?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakushauri utumie sportpesa, hii itakushinda kabisa na utaishia kutoa lawama. Manake hawa wanataka ufate vigezo na masharti kama yalivyo.
Chati na hiyo namba whatsapp atakuelekeza. Ila ni English tupu.
+35795581452
 
Huyo unaedai apigiwe sim, ndie mkwapuaji wa pesa zenu ninyi msiojua ABC kuhusu 1xBet, yaani namaanisha ukijichanganya kidogo tu huyo jamaa pesa yako anaidaka na usipoifutalia kwa kina ndio kwaheri hiyo.
anafanya kaz m lipa mm nilitumiwa salio limefika labda badae ana cancel
 
Ahadi ni deni,kwa watakaopenda kuifuata

Odds 3+

zeshchriss.
Screenshot_2018-10-10-21-11-07.jpeg
Screenshot_2018-10-10-21-14-12.jpeg
Screenshot_2018-10-10-21-14-20.jpeg
 
Dah! Kweli mkuu hujaona kabisa sehemu iliyoandikwa withdraw?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakushauri utumie sportpesa, hii itakushinda kabisa.
hata mm huo ushaur naufanyia kaz imenishinda kiukwel mana hela inapitia kampuni nyingine ndo tatizo
 
Hiyo ni namba ya jamaa tu wa hapo mlipa, siyo namba ya ofisi. Nakupa hii kesho asbuhi piga mweleze A-Z tatizo lako naamini litashughulikiwa kwa wakati, u'll thank me later 022 270 1845
haya ndo mawazo mazur tunahitaji sio mtu anakurupuka tu anaanza kejeli
 
Watu wanalalamika kama sehemu ya kutoa hisia zao wewe n nani kutumia nguvu na kuwatisha watu wanapoonyesha kutokuridhika na huduma katika kampuni fulani.
Mfano mm nmedeposit toka jmosi kupitia hyo kampuni 1xbet kwa namba ya airtel hela haikuingia baadae nikawasiliana na watu na mtandao wa airtel wakaniambia hela itaingia baada ya masaa 72 mpaka sa hizi hela bdo haijaingia kwny account.
Nasititiza sijaanza kutumia hyo kampuni hii leo karibu namaliza mwaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom