Nenda IN PLAY utazipata kwa urahisi hizo 1.50 oddsBack to the game...
Wakuu habari ya humu. Nimekuja na ka project ka siku kumi naanza na 20k natafuta m1 msaada wa odd 1.50 kwa kila day nitakayo press bet kupata hiyo 1m. Nitacheza kiasi chote nitakachokula, nimepiga hesabu kwa cku 10 mambo yakiwa fresh nainua mikono. Twende kazi.
RudiatenaaHii game ya Stars na UG inaharibiwa na Pitch mbovu sidhani hata 1.5 itatoka!it was safe to bet under 2.5
Mzee mzima wa kusoma..Pale unapokuwa na mtaji lakn ukakosa game za kudhamini
Mzee hapa nilifuata ushauri wako nimeongeza mtajiHii game ya Stars na UG inaharibiwa na Pitch mbovu sidhani hata 1.5 itatoka!it was safe to bet under 2.5
Safi hongeraa!!Mzee hapa nilifuata ushauri wako nimeongeza mtaji
*******BET WOOOON*****
Mkuu toka Napoli anifanyie ujinga last season kwa kupigwa na Fiolentina chuma tatu na nilimuwekea mzigo mzima... nika stop kabisaaa ila betting ni zaidi ya cocaine kila nikipita humu naona arosto.Karibu sana Afande kitambo sana huu..kimya kingi kina mshindo mkuu
Sijaamini kabisaaaaDuh kumbe Cameroon ni vichaa kabisa
Mkuu crumpy niko porini sasa, network lazima nitafute mlimani.Nenda IN PLAY utazipata kwa urahisi hizo 1.50 odds
*†****BET WOOOOOON****In play
Laliga 2
Malaga vs Tenerife
First half corners: Malaga over 1.5
Odds: 1.46
Duh!*†****BET WOOOOOON****