Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,718
- 6,441
Ngoja nilale tu ksho kazini kwa hizi hasira hawa jamaa nawalaani Europa napo watolewe tu hawana maanaDah,
We acha tu
Wapuuz sn hawa
Nlidhan wananichaniaga mm peke angu.
Ngoja nilale tu ksho kazini kwa hizi hasira hawa jamaa nawalaani Europa napo watolewe tu hawana maanaDah,
We acha tu
Wapuuz sn hawa
Nlidhan wananichaniaga mm peke angu.
HahahahahahahahahNgoja nilale tu ksho kazini kwa hizi hasira hawa jamaa nawalaani Europa napo watolewe tu hawana maana
Hao wapuuz wamenifilisi sn kwny Europa.Ngoja nilale tu ksho kazini kwa hizi hasira hawa jamaa nawalaani Europa napo watolewe tu hawana maana
Yeah mi hua natazama seria A kupitia iyo RAI ITALIA kwa DSTV Channel no.430Wale wanaotumia Azam TV
Game ya Milan inaonyeshwa Live kwny "Rai Italia"
Hata Ahly angechana tu siku ya kufa nyani hiyoView attachment 738380
Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
Kwa double chance sawaView attachment 738380
Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
Duuu mbona wanalipaUshauli wenu nikawashitaki wapi hawa princessbet maana hawataki kunilipa pesa ambayo nimeshinda
Hii huwa inatokea ni ajali tu, leo nilijua namuwekea cr7 asifunge goli kipindi cha kwanza, nmejikuta eti nimemuwekea full time, japo hii mie naona km siamin sababu hata odds tu zinaonesha, sijui ilitokeaje tokeajeKuna muda huwa nahisi kama kiini macho, yani leo nilijua nacheza Al AHly nakuja kucheki slip eti niliweka Zamalek na amechana peke ya yani. Sa cjui hata macho yaliangalia vipi wakat lengo lilikua kucheza Al Ahly
No. 2 BET WOOON!!!!!Ushauri wenu muhimu hapa wadau...
No. 1
Chesea win
Ajax win
Faynoord 2+
Porto 2+
Melbourne victory 2+
Total Odds 2
No.2
Dotmund 2+
Heerenveen 2+
Duesedorf west 2+
Uterch 2+
Straelen 2+
Total Odds 2
mbona tarehe ya jana na leo?
Huo wa kwanza ulichanika ikambidi atengeneze mkeka wa pili ambao naona umetick .....mbona tarehe ya jana na leo?
nliufata pia huu wa kwanza nkafikia pua ila mapambano bado yanaendeleHuo wa kwanza ulichanika ikambidi atengeneze mkeka wa pili ambao naona umetick .....
Nilimfuata kwa huo wa kwanza bahati mbaya ulichanika
Mech zingine zinakuwa usiku ambapo ni siku mpya labdambona tarehe ya jana na leo?