Naisoma360
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 820
- 491
premier?wakuu habari zenu..
hivi uki withrawa pesa jumamosi jioni, kuna uwezekano wa kuzipata jumapili? au mpaka jumatatu?
premier?wakuu habari zenu..
hivi uki withrawa pesa jumamosi jioni, kuna uwezekano wa kuzipata jumapili? au mpaka jumatatu?
ndio? Naisoma360 .premier?
kama ukitoa asubuhi mida ya saa 2 au 3 saa tisa waweza pata mzigo kwa jumamosi, mi wiki iliyopita nilipata ila huenda ni bahat na sibu maana ukitoa wanakwambia kabisa unaweza pata jumatatu.ndio? Naisoma360 .
wakuu habari zenu..
hivi uki withrawa pesa jumamosi jioni, kuna uwezekano wa kuzipata jumapili? au mpaka jumatatu?
BOFYA <>PremierBet Tanzania Sports betting | Bet Online NI KUANZIA SH. 500 TUNiaje wadau. Hivi premier bet wanayo kwenye website au bado wana ya vikaratasi? Na kama ipo ya online kianzio cha kubeti ni sh. Ngapi?,please msaada tafadhali
Website hii inaitwaje nikasave bookmark kabisaaa
Umeenda sawa na Mimi, kiongozi
Free Betting Tips - Sports PredictionsWebsite hii inaitwaje nikasave bookmark kabisaaa
Zambia wa**nge sanaaa! Wanapigwa dakika za mwishoZambia
ok natumia cmu ndio mana czpatiipo m-bet, meridian na premier ukiweka mkeka baada ya dakika 3 unapata matokeo, kama unatumia simu sidhani kama utafanikiwa