Mwanangu nashukuru sana...kanipiga mno huu muhind aisee nami Leo mapemaaa nimemfumaniaHongera free. G
Jitaidi uweke kapicha mkuu, kata encourage watu kuendelea kucheza haka kamchezo mana kuna wengine wameshakataga tamaa.Natumia smart j5 kuapload inasumbua..believe me or not
Mmmh blaza angalia vizuri namashaka na maelezo yako kama hayapo sawa...torino ameanza kushinda na lazio katokea nyuma kurudisha...sasa hapo cjui bt hongeraHapo nimekosea tu Mkuu lakin mwenyeji n Torino na wageni ni Toulouse na Liverpool...km huamin subiri utaniona cku hz mbili ktk vipndi vya TV vya michezo Mkuu ...ni haraka ya furaha ndo ilonivuruga
Mkuu huu mchezo kiukweli hta mm ilifka mahala nikakata tamaa kbsa...lkn nilijifunza kuwa hupwasi kukata tamaaaJitaidi uweke kapicha mkuu, kata encourage watu kuendelea kucheza haka kamchezo mana kuna wengine wameshakataga tamaa.
AsnteInter win
Lyon win
Bado plezn na anaongoza 1-0hapa mi natoka hivi
Juventus win
Barcelona win
Shaktat win
Dinamo win
Ajax win
Plezen win
Feryenood win
kama mi mpaka Sasa nagombana na Demu wangu kila wakati Hataki kabisa nifanye hii kitu japo nikilaga namhonga but hakatai Haaa Haaa Nachukua likizo kwanza.Jitaidi uweke kapicha mkuu, kata encourage watu kuendelea kucheza haka kamchezo mana kuna wengine wameshakataga tamaa.
pole kiongoziWest brom vs man utd. 3+
Odds 2.23
Stake 500000
Return 1,115,000
All the best
No hard feelingspole kiongozi
Bet winhapa mi natoka hivi
Juventus win
Barcelona win
Shaktat win
Dinamo win
Ajax win
Plezen win
Feryenood win
Nina furaha teeeeleeee Leo muhindi Wa premier nimempiga kipigo kitakatifu....nimecheza ngumu kumeza..nimecheza timu tatu na zmetiki ml.24,000,000 kwa 5000
1.niliwapa wageni wawili waanze kufunga wachomoe wenyeji matokeo yabaki suluhu..yaani (a)Torino vs lazio,...(b) Marseille vs Toulouse
.... Hii ya liver nimempa apigwe alafu achomoe na kushinda...full shangweeerrr krsho asbhiiiii kibopaaaaa
pamoja man wote wana game muhimu watashinda coz wanataka nafasi za uefaHongera sana
Mie namsubiria
Inter na Lyon wasitoke Draw tu
Mkuu umenena vyemaFerre G
Mkeka wako umechanika
Option ulzo cheza zilitakiwa ziwe hv
Second half Marseile vs Toules 1:1 meaning draw ila ww umesema game imetoka 2-X
Torino vs lazio 1-X ila ww ulisema 2-X
Second half crystal palace vs livepool ni 1:2
Sasa tukuelewe vipi kama ulicheza hivi
Tolouse a score first then Marseile achomoe hakuna option ya hivyo
Lazio ascore first na haikuwa hvyo cuz Turin alianza kuscore
Crystal vs liver napo chenga labda ungeweka X-2 meaning first half drawa na second half ashinde wa pili