Hapo nimekosea tu Mkuu lakin mwenyeji n Torino na wageni ni Toulouse na Liverpool...km huamin subiri utaniona cku hz mbili ktk vipndi vya TV vya michezo Mkuu ...ni haraka ya furaha ndo ilonivuruga
Mmmh blaza angalia vizuri namashaka na maelezo yako kama hayapo sawa...torino ameanza kushinda na lazio katokea nyuma kurudisha...sasa hapo cjui bt hongera
 
Nina furaha teeeeleeee Leo muhindi Wa premier nimempiga kipigo kitakatifu....nimecheza ngumu kumeza..nimecheza timu tatu na zmetiki ml.24,000,000 kwa 5000

1.niliwapa wageni wawili waanze kufunga wachomoe wenyeji matokeo yabaki suluhu..yaani (a)Torino vs lazio,...(b) Marseille vs Toulouse
.... Hii ya liver nimempa apigwe alafu achomoe na kushinda...full shangweeerrr krsho asbhiiiii kibopaaaaa


Mnaojua ngumu kumeza mtanisaidia
Game ya liver walianza kushinda crystal palace..lakini ushindi huo ulipatikana kipindi cha pili

Ambapo huwa inatakiwa ushindi uanzie kipindi cha kwanza halafu mgeni ndio achomoe..hii inamaana huwa wanaangalia vipindi vyote viwili...matokeo ya leo kwa ngumu kumeza upande wa liver na crystal palace....x-2

Ila wanaojua zaidi leteni data
 
Ferre G

Mkeka wako umechanika

Option ulzo cheza zilitakiwa ziwe hv

Second half Marseile vs Toules 1:1 meaning draw ila ww umesema game imetoka 2-X

Torino vs lazio 1-X ila ww ulisema 2-X

Second half crystal palace vs livepool ni 1:2

Sasa tukuelewe vipi kama ulicheza hivi

Tolouse a score first then Marseile achomoe hakuna option ya hivyo

Lazio ascore first na haikuwa hvyo cuz Turin alianza kuscore

Crystal vs liver napo chenga labda ungeweka X-2 meaning first half drawa na second half ashinde wa pili
 
Ferre G

Mkeka wako umechanika

Option ulzo cheza zilitakiwa ziwe hv

Second half Marseile vs Toules 1:1 meaning draw ila ww umesema game imetoka 2-X

Torino vs lazio 1-X ila ww ulisema 2-X

Second half crystal palace vs livepool ni 1:2

Sasa tukuelewe vipi kama ulicheza hivi

Tolouse a score first then Marseile achomoe hakuna option ya hivyo

Lazio ascore first na haikuwa hvyo cuz Turin alianza kuscore

Crystal vs liver napo chenga labda ungeweka X-2 meaning first half drawa na second half ashinde wa pili
Mkuu umenena vyema

Maana jamaa yeye kakalili bora ushindi bila kuangalia vipindi vyote halvea
 
Mimi nimefuatilia game ya liver nikaona chenga kutokana na maelezo yake

Au mfano mzuri ni jana arsenal vs totnham..ndio ulikuwa umewin kwa option uliyompa liver...
 
Inabid ukajifunze courz ya options zilizopo kwenye shet ili unapokuwa una bet ujue na maana zake....mkuu hapo umejifariji pole xana Anglia ucje ukachekwa kwa uongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom