Kuna za kulipia na za bure mkuu, kama umeangalia vizuri leo kulikuwa na ya bure ya Lyon vs Metz; Lyon win (-1.5) handicap.

Mimi naanza kucheza za bure kwanza, nitahamia kwenye za kulipia kama nitaona mafanikio kwenye za bure. Preliminary assessment inanipa faida ya laki 3 hadi 5 kwa mwezi kwa mtaji wa 50,000 daily.

poa bro ngoja nami ntazitest nione zari
 
Alafu wanao predict mech n wengi sana 90% waongo

Ni kama sisi humu, kuna ambao ni wawakilishi wa makampuni wanaweka mikeka ya kutu-mislead ili tuliwe wapate faida! Ni swala la wewe kutumia akili ya kuambiwa unachanganya na zako. Ndiyo maana nasisitizaga kufanya analysis yako kwa mkeka wowote utakaowekwa humu badala ya kucopy paste.

Hiyo site niliyoiweka jamaa anaweka na uchambuzi wa kutosha kabisa ambao ukiusoma unaweza kupata jibu la ufatane naye au uachane naye! Kumbuka, ukiliwa sio yeye anayepoteza, ni wewe.
 
poa bro ngoja nami ntazitest nione zari

Mhindi mgumu sana kumla, tunajaribu kila tuwezalo kupambana naye, nidhamu inahitajika pia. Ukijiwekea kiwango uhakikishe hukivuki, plan utabet mara ngapi kwa wiki na kiasi gani.
 
Hapo raimundi umeongea ila tatizo watu wanahasira na kiliwa ndio mana wanavuka kipimo wanatamani mamilioni ya haraka haraka
 
Hapo raimundi umeongea ila tatizo watu wanahasira na kiliwa ndio mana wanavuka kipimo wanatamani mamilioni ya haraka haraka

Ukifanya hivyo unaendelea kumtajirisha Mhindi, kuna tips alishaziweka humu Mtoto wa nzi za jinsi ya kufanya responsible gambling, ukizisoma zinasaidia sana.

Tubadilike, huu ni mwaka wa mabadiliko kama kweli tunataka kupambana na Mhindi.

Kuna msemo wa kwamba huwezi kushinda kwa kutumia mbinu zile zile zilizoshindwa kukupa ushindi nyuma, lazima ufanye mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Raimundi hyo site inaitwaje ya huyo darko

Click pale nilipoweka jina lake, kuna link. Ila ujipe muda wa kumfuatilia vizuri kabla ya kufanya maamuzi, jipe hata mwezi wa kufuatilia tips zake kabla ya kufanya chochote, maana naye sio kwamba anapatia kila siku, mi nimeona tu kwamba anapatia nyingi zaidi ya anazokosa.
 
Mm nilikuwa natumia mfumo mbovu sana kuweka timu zaidi ya 10 nikitarajia ushindi kumbe ndio naungua hvyo
 
Ukifanya hivyo unaendelea kumtajirisha Mhindi, kuna tips alishaziweka humu Mtoto wa nzi za jinsi ya kufanya responsible gambling, ukizisoma zinasaidia sana.

Tubadilike, huu ni mwaka wa mabadiliko kama kweli tunataka kupambana na Mhindi.

Kuna msemo wa kwamba huwezi kushinda kwa kutumia mbinu zile zile zilizoshindwa kukupa ushindi nyuma, lazima ufanye mabadiliko.
Mi nimejifunza kuweka timu chache then natupia buku 5 hizi za kuweka timu nyingi ni kumpa ulaji mdosi.
 
Last edited by a moderator:
Samahani nina maswali mengi ndio najifunza mnivulimie please.

So nikitaka kubet kwa mpesa natakiwa niandike nn na nitume kwenda namba gani

Nenda www.m-bet.co.tz alafu utafanya usajili hapo. Ukimaliza tu utaona maelezo pale jinsi ya kubet.
Ukishachagua timu watakupa namba ya kumbukumbu ya malipo ambayo utaitumia kule mpesa wakati unalipia. Namba yao ya biashara ni 219966.
 
mtaji.JPG kama utani nimekula laki
 
Wadau tangu mwaka 2015 uanze ndo nimewin jana manake dah mpaka nilitaka kukata tamaa niliweka kwa M-Bet - Tanzania Sportsbook

Lyon win 1.30
Juventus win 1.12
Sporting cp win 1.15
Espanyol win 1.67
Gent win 1.30
St.Etienne Lose 2.02
Valencia win 2.15
dau 1500
win 23,681.0049
Sio mbaya.
 
Ur the man! Huy mhindi mpaka jirani kauza mihogo yake ikiwa shambani kisa mhindi.
mkuu nimeshtukia live in play ndo mpango mzima...kuweka mkeka ni ndoto kushinda...mi sasahivi nasubiri game imeanza nacheki flow ya game ndo naingia mzigoni....
 
mkuu nimeshtukia live in play ndo mpango mzima...kuweka mkeka ni ndoto kushinda...mi sasahivi nasubiri game imeanza nacheki flow ya game ndo naingia mzigoni....

Nipe maelekezo ikoje hii mkuu!? Ya kusubiri mpaka msako uanze ndio utupie mzigo na inapatikana sites gani? Na ni online au physically?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom