Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tumia laptop au desktop kama ni simu tumia window phone mi nmejarb huawei 100,tecno,idios zmezingua zote ila nkajarbu nokia lumia 305 ikakubali ingawa nkilog in ikawa inaniambia your countr has been blocked kwahiyo nikaishia apo tafuta window phone ujarbu uone

Tumia next browser iko fresh sana mi naingia kawaida tu lakn sm yangu ni lg E 400
 
Tumia next browser iko fresh sana mi naingia kawaida tu lakn sm yangu ni lg E 400

eli yako ndugu mi nmejarbu browser zote imekataa sina ham nao nasubil jumamos niwah asubui asubui cafe kabla mtandao ujawa mbaya nweke mkeka!!
 
mbona mimi siwaelwi
kwasababu Mimi natumia cm ya bei nafuu itel inotbeyond
lakini inakubari kama kawaida
but natumia default browser ya cm
 
Nimejaribu live na meridian iko poa sana unawala tu

live iko poa sana unawala mdogomdogo sema inabid uwe na dau kubwa mi now nmedownload uc browser na next browser iyo live itankoma si basket,handbal wala football hadi mzungu anfilisi
 
live iko poa sana unawala mdogomdogo sema inabid uwe na dau kubwa mi now nmedownload uc browser na next browser iyo live itankoma si basket,handbal wala football hadi mzungu anfilisi

Mbona sielewi baskteball jamani. Pale kwenye total point nashindwa nichagua ipi ili niweke under au over.
Maana kuna Total point 1 hadi 3
Muongozo jaman
 
Mbona sielewi baskteball jamani. Pale kwenye total point nashindwa nichagua ipi ili niweke under au over.
Maana kuna Total point 1 hadi 3
Muongozo jaman

chagua yoyote tu mana unakuta mfano
totol point 1 ina over 200
total point 2 ina over 199
total point 3 ina over 201

huwa azipishani sana we chagua yoyote tu au chagua yenye point ndogo uwa total point 2
 
Walichonifanyia benefika jana hata sina hamu kabisa maana mkeka wote ulikuwa right benefica tu kaharibu. vipi leo tuwekeje tumlize mhindi wa m bet
 
Nisaidieni pale kwenue under na over na out inakuwaje maana sielewi maana zake jamani

under ni chini ya magoal yaliopangwa na over ni zaid ya magoal yaliopangwa mfano iyo mechi wameweka goal 180 ukiweka under yasizid ayo magoal ukiweka over yazid ayo magoal ndomana kipindi unacheza inabid usubil matokeo ya set ya kwanza na ya pil ili uone mwelekeo ujue iyo mechi uweke under or over na point znabadilika kila wanapofungana

OU ni over/under sina elimu nayo iyo
 
Back
Top Bottom