Wadau mchawi nani hapo nimchomoe fastaaa
IMG_20190111_184058_688.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa umeona tabia yako sasa uwe unani PM twende sawa kama unaogopa kuweka wazi stake yako..

Utakachopoteza na mm nikipoteza sawa tu aisee....
Mm ninachokifanya huwa ninaleta mapema possible utakuta Nina ifukuzia odd zipande. So Mara nyingi huwa naleta mapema kabla sijaplace ili kila anayehitaji afuate mapema au hapana naye afukuzie. Kwamfano Unakuta option ninayoitaka odd ziko 1.2 siwezi kuplace kwanza mpaka odd zisogee. Umenipata Mkuu.?
 
nakuelewa boss, mm nataka unavyo place tu una ni tag aisee ili twende sawa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom