Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,703
- 5,635
BETTING IS NOT SHOPPINGhii wiki nisipokua masikini walahi nawaambia Hakuna hela atakayonila kajibhai nakasikitika baada ya hiii wiki ni kati ya wiki ambazo nitazikumbuka sana katika maisha yangu ya kubet nimeliwa, nimeliwa,nimepuswa, nikachana mikeka, nikalose, not win + account balance 0000 lakin bado nimo tu hahahahahahahahaha
Utadumu mkuu katika hiki chombo chetu cha bettinghii wiki nisipokua masikini walahi nawaambia Hakuna hela atakayonila kajibhai nakasikitika baada ya hiii wiki ni kati ya wiki ambazo nitazikumbuka sana katika maisha yangu ya kubet nimeliwa, nimeliwa,nimepuswa, nikachana mikeka, nikalose, not win + account balance 0000 lakin bado nimo tu hahahahahahahahaha
mkuu utafilisika at infinity lakini uwez kosa hela ya kubett...betting ikishaingia in blood unaweza ata kuassume am playing for fun kama kuacha mm mkuu ningekuwa wa kwanza.nilikuwa katka mazingira fulani hiv yalinifanya kutotumia simu kwa miez kadhaa nilivyokuwa huru nikaback again kwenye game.#aluta_continua tutajua tu mwisho utakuaje.
kuacha kubet mm mpaka makampuni ya betting yafe na ya kifa naanzisha yangu maana hiyo kuacha betting mm labda nife xo. #no betting no life#mkuu utafilisika at infinity lakini uwez kosa hela ya kubett...betting ikishaingia in blood unaweza ata kuassume am playing for fun kama kuacha mm mkuu ningekuwa wa kwanza.nilikuwa katka mazingira fulani hiv yalinifanya kutotumia simu kwa miez kadhaa nilivyokuwa huru nikaback again kwenye game.#aluta_continua tutajua tu mwisho utakuaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana baada ya kukufatilia muda mrefu naona ni bora sasa utakachoweka kama ni kula tumpige wote mwenyew nime surrender hii kazi
Pamoja mkuuHongera sana baada ya kukufatilia muda mrefu naona ni bora sasa utakachoweka kama ni kula tumpige wote mwenyew nime surrender hii kazi
Sent using Jamii Forums mobile app