Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,351
- 3,296
Unaweza bila shaka ilimradi tu uwe umesharequest kudeposit na ukakomfirm kule 1xbet.Pesa inaingia bila shida.Kwa wale wanaotumia 1xbet, ninaweza kudeposit hela kabla ile message ya beyonic haijafika
Wale PAOK hawawez kumfunga Chelsea... Mimi namfuata mzima mzima.Dah ndugu natamani tungeweza kumjua mchawi wa leo ili tuweze kumkwepa.
Binafsi nalazimika kuitoa ktk betting Timu yangu pendwa Chelsea maana hakuna kitu kigumu kama kushindana na na Mkeka.Mahaba ya timu nayaweka kando kwa Leo.
Mkuu wale watoto wasumbufu sana tena ni watu wa Bundes yaani wapiga viatu sanaWale PAOK hawawez kumfunga Chelsea... Mimi namfuata mzima mzima.
Hata is very hardJaribuni inplay mbao vs simbaView attachment 872346
Kwa wale wanaotumia 1xbet, ninaweza kudeposit hela kabla ile message ya beyonic haijafika
Wanaweza furukuta kama jana Young boys ila mwisho wa siku ata cap watapigwa wale.Mkuu wale watoto wasumbufu sana tena ni watu wa Bundes yaani wapiga viatu sana
Licha ya Chelsea kuwadharau hawa madogo wa PAOK na kuwapumzisha mastar wao kadhaa kwa ajili ya EPL.. Direct win inawezekana mapema tu. But kwenye soka lolote laweza tokea ila madogo hawawezi kuzuia pressure na intensity ya Chelsea kwa dakika 90 zote za mchezo.Wale PAOK hawawez kumfunga Chelsea... Mimi namfuata mzima mzima.
pole SanMan city kum* la mamako kwa kunichania mkeka wa 100,000
Dejavu naomba bet slip yako...Licha ya Chelsea kuwadharau hawa madogo wa PAOK na kuwapumzisha mastar wao kadhaa kwa ajili ya EPL.. Direct win inawezekana mapema tu. But kwenye soka lolote laweza tokea ila madogo hawawezi kuzuia pressure na intensity ya Chelsea kwa dakika 90 zote za mchezo.
Possibility ni kubwa ya Chelsea kuwin ila kama mkuu ana hofu sana basi awape double chance yenyewe ni uhakika.
Which company?
Mpira wa ximb umeisha?POLENO SANA MSIMBAZI MHINDI HANA ADABU KABISAA OOH SIMBA WIN 2.20 MNAHISI MJINGA