Jaman msaada wenu nmeshindwa namna ya kujaza salio 1x bet tayar nmeisha lipa Mpesa naile namba ya malipo nmeikopi sasa nikifungu sioni sehemu ya kujaza hili pesa isome kwenye account.
 
Salute to you.....

Anyway,
mechi haijaisha bado

Mapambano yanaendelea
Kipindi hiki kinaweza kua kigumu kwa mechi zilizobaki za ligi zitakazokutana na man u kutokana na kuona kua upo uwezekano wa city kuzingua, siku ibetia kishabiki ila upepo niliuona kwa nafasi zao ktk msimamo.
 
Jaman msaada wenu nmeshindwa namna ya kujaza salio 1x bet tayar nmeisha lipa Mpesa naile namba ya malipo nmeikopi sasa nikifungu sioni sehemu ya kujaza hili pesa isome kwenye account.

Ulianza kwenye mpesa au kwenye 1xbet?


Inatakiwa uanze 1xbet kwa kuclick pale palipo andikwa deposit kisha chagua mtandao utakao tumia kuweka pesa kama ni Voda au tigo au airtel nk. Kisha ujaze sehemu inayokuhitaji uweke kiasi na namba ya simu utakayotumia kuweka pesa kisha submit usubiri hadi iingie sms ya kuonyesha namna ya kulipa
 
Screenshot_20180310-174617.png
Screenshot_20180310-174634.png
. Ikindokiona sioni ilesehemu ya complete deposit.
 
Msaada jaman wadau
Incase unatumia laini ya vodacom baada ya kujaza hela kwny app subiri iingie sms ndo unailipia MPESA,kwa kufata hatua hizi namba ya kampuni ni 400700, no ya kumbukumbu 0081bet halafu kiasi cha fedha kisha unalipa,automatically fedha inaingia kwny account yako.
Haisumbui na kila siku wakuu humu wamekua wanayafafanua hayo hayo kila siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom