Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kikinga

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
1,524
2,000
Wale mnaotumia 1x bet nawapa ushauri ingia inplay chagua options pale juu wameandika quick events unapiga 10 minutes draw inatoa saana Hii haihitaji uwe Mwalimu kashasha au Martin taylor yani haina haja ya uchambuzi
Kaka hakuna options rahisi kote huko wenzio tumepita
 

2699s

Member
Aug 30, 2017
32
95
Kubet ni rahisi ila sio jelo lako wala mia tano aisee, utasubiri sana kama unamzigo tushirikiane mawazo nikupe mbinu ukitusua unipe 5%
ff4567741f4f8bda2a418a500c6fe9eb.jpg
930d096c3aca2d13600f6326ca356057.jpg
Uko vizuri
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
13,454
2,000
TUNAFUNGUA BIASHARA......

Inplay

Australia Npl viktorian

Oakhleigh vs South Melbourne

Full time- South Melbourne double chance& over 1.5 goals full time

Odds: 1.85
Ha ha ha.....

Melbourne anapigwa kipigo cha mbwa mwizi huko, update 4:1
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
chongoe Kwa wazee wa mikeka Sports 15
M wazee wakueka mikeka kuna jamaa kawaunguzia leo Sports 10
msolopaganzi1954 Wazee wa kujilipua MIKEKA. Sports 0
Heart_Throb Wazee wa mikeka Sports 0
omary khamis Wazee wa mikeka Sports 17

Similar Discussions

Top Bottom